Saturday, October 8, 2011

HABARI KWA WAFUGAO KUCHA

Kufuga makucha ni kinyume na mafundisho ya Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) aliyenukuliwa katika hadithi mbali mbali akihimiza kuyakata.

Imepokelewa kutoka Bukhari na Muslim kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) amesema:

“Katika maumbile ni mambo matano; Akataja kukata makucha kuwa ni mojawapo ya mambo matano hayo.

Imepokelewa pia kutoka kwa Anas (RA) kuwa amesema: “Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) ametuwekea muda wa kunyoa masharubu na kukata makucha na kusafisha nywele za kwapani na nywele zilizo juu ya sehemu za siri (visiachwe hivyo zaidi ya siku arubaini)

Kufuga makucha kunasababisha kukusanyika kwa uchafu mwingi chini yake na wadudu wanaoleta uchafu na kusahilisha kuwaeneza wadudu hao ndani ya vyakula na vinywaji.

Kufuga makucha pia kunaweza kuyazuwia maji ya udhu au ya tohara yasifikie sehemu ya ndani ya makucha hayo.

Kupaka rangi ya makucha pia kunasababisha maji yasiweze kuyafikia makucha na kwa ajili hiyo tohara haipatikani kwa njia sahihi.

Imepokelewa kutoka kwa Abu Ayub Al Ansari kuwa alikuja mtu kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) na kumuuliza juu ya habari za mbinguni. Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) alipomtizama mtu yule akaona kuwa ana makucha marefu, akamuambia: “Mmoja wenu anauliza juu ya habari za mbinguni wakati makucha yake ni marefu kama makucha ya ndege, anakusanya ndani yake janaba na uchafu.

Thursday, September 1, 2011

"Capture flash video and audio from any website to your computer".

Have you ever thought how to download video and audio from flash players on internet sites like Youtube, Google Video, MySpace, DailyMotion, Metacafe, Break, Blog sites of your friends with embedded audio and video content and so on?

So, JCopia does it all. It captures flash video / audio / stream from any website to your computer as files. Just play your media online and watch as JCopia 4.7.4368 saves any clip / music / movie to your computer.

JCopia detects and begins to download any clip, video, music, radio stream, video stream, Flash game or presentation that is played in your browser. Increase your video and audio collection with JCopia now!

It is a very convenient tool for collections video and audio files on disk.

Here is the link:

Capture flash video and audio from any website to your computer

You may place this link alone without description or on existing post or create new post with a short description (language and text is up to you)

Feel free to get information about product here: http://jiteco.com/jcopia.html
THIS HAS BROUGHT TO YOU BY KAKA SULE BLOG. ENJOY THE TECHNOLOGY.

Saturday, August 27, 2011

POEM TO MY AKHI AND UKHTII

Oh Muslim Brother and Sisters



Do not forget your creator,

Do not forget the one and only saviour,

He gave you life and every favour.

He gave you eyes to see the truth,

To look in the Qur'an is your proof.

Gave you ears to listen with,

To follow the right path is your gift,

Gave you a mouth to speak the good.

To give Da'wat and make people understood.

He gave you a brain to understand,

To control your worldly affairs in your land.

He gave you feet to reach the perfect destiny,

To follow the right path is to hold on to the Qur'anic memory.

He gives you hands to spend plenty of charity,

To the poor, weak, needy family.

He gave you sense, touch and taste,

Or we would be eating garbage waste.

He gave you parents to love, teach and cherish you,

To save you from calamities that could perish you.

He gave you wealth to distribute and invoke Allah's attributes.

He gave you health to practise Islam,

To read the Duas and save you from Damn.

He gave you children to make them pious,

To teach them and save them from the devils, the liars.

He gave you comfort and ease,

A life with such dignity and peace.

He gave you a home so beautiful and spacious,

To hymn to praise Allah the most gracious.

He gave you wealth to spend in need,

A help to a friend in hereafter you will succeed.

He gave you fasting to reform,

To conquer natural diseases till dawn.

He gave you money to go to Hajj,

To purify your soul towards your Judge.

He gave you abundance food to eat,

To give you strength and a prayer to complete.

He gave you a partner to share.

In loneliness, happiness, sadness and

Every situation to care, gave you death as a present,

To meet your Lord the Mighty the Most Pleasant!

IMPORTANCE OF MARRIAGE IN OUR LIFE

Why marry?

Marriage makes an incomplete human being a complete one. It makes him/her a grown up and gives him/her responsibilities whether those responsibilities are to feed and clothe the wife or to assist the husband. Marriage is supposed to take a person out of the hectic lifestyle that one is in and place him or her in an organised environment giving them a path to follow in life and a shoulder to lean on. In short marriage arranges one’s life. In Islam a man cannot have relationships with those he can marry unless it is within marriage. In other words Islam gives the right to a woman to be a wife of a man independant of the marriage relationship the man may have with another woman. This is a key diffence because in the modern era a man is not guilty if he has relationships with a woman outside of marriage but the moment he contracts to treat this woman equally as his wife, he is criminalised for illegal behaviour. This is odd as the current common law does not criminalise the actual relationship of the man with another woman but punishes the solemn promise/affirmation in writing to continue. Any off-spring would be illegitamate as the courts would not recognize polgamy even though it exists and is accepted in behaviour but not in writing. In some senses the increase in divorce rates and re-marriages we see nowadays is in someways a serial version of polygamy!. There are many reasons that support polygamy but Islam limits the practice to four wives and is allowed only when one can be fair to all wives. Polygamy is only mentioned briefly here but as a subject could be read in further detail elsewhere. Please also note that the current Law of the land in this regard should be abided by.

Marriage helps to safeguard one’s imaan (faith) i.e. it stops one from committing such acts by which s/he could be considered immoral. Sins such as intermingling with people of the opposite sex or socialising as it is classed in everyday terms are not considered to be acceptable in Islam, (because it creates immorality and immodesty) even though an incredibly large amount of people will hastely class it as an 'essential' part of one’s day.

Sunday, July 24, 2011

SALAM ALYKUM, MAPENZI NI JAMBO ZITO, ILA JEPESI.
KWANINI NIMEAMUA KUTOA MTAZAMO HUO. MAPENZI NI JAMBO LILOKUWEPO TANGU ENZI ZA ADAMU NA HAWA, MITUME NA MANABII, MABABU NA MABIBI NA WAZAZI WETU PIA. JAMBO HILI HUMUWEKA MTU KATIKA NAFASI NZURI AU MBAYA KAMA NAMNA LITAKAVYOCHUKULIWA. WALLAH NAAPA MAPENZI NI JAMBO ZITO, LAWEZA MFANYA MTU KUWA HAJITAMBUI NA KUFANYA YASIYO, KUNA WAKATI HUGEUKA KUWA SUMU NA MSUMARI UUMIZAO MOYO HII NI PALE UNAPOPENDWA USIKOPENDA NA KUKUTANA NA FITNA ZA KUFANYA VISIVYO AU KUFANYWA VISIVYO, ILA HUWA MBAYA ZAIDI KAMA UTAPENADA USIPOPENDWA NA KISHA UKABAKI UKITUMIA MUDA WAKO MWINGI, NA HUKU UNAUMIA.

MAPENZI YANAFANYIKA KWA MOYO, NA HUTENAGANISHWA PIA NA VITU VINGI WAKATI MWINGINE SI MOYO, NA HUWA NI JAMBO LA MAKUBALIANO. MOYO HUJENGWA KWA MAPENZI YA MIONGONI MWENU NA HUTENGANISHWA KWA NAMNA HII.UKIPENDA JAMANI RAHA LAKINI, LAKINI, NAREJEA LAKINI HUWA MABAYA HADI MTU KUFIKIA HATUA YAKUTAKA KUFANYA MAMBO AMBAYO HUWEZA KULETA MADHARA.
DAH, SIJUI NIENDELEE?
NGOJA NIJIKAZE NIENDELEE JAPO HAUKUNA MPANGILIO WA MANENO.
MIOYO HII NDIO CHANZO CHA NAKAMA NA NASHMA NA SHUTUMA KATIKA MAPENZI HUTOKEA GHAFLA AU KWA KUSHINIKIZWA TU UKASIKIA TU MAPENZI YAMETETEREKA AU YANATARAJI KUVUNJIKA KWA SABABU YA MOYO MMOJA AU WAWILI KUINGIA TASHWISHI ZA KUTAKA KUUUMIZA MOYO WA MWINGINE KWA KUUADHIBU KWA KUTOTAKA KUWANAO TENA NA KUTAKA HATA MAPENZI YA WAWILI KUVUNJIKA. PAGUMU HAPO KWA WALE WALIOSHIBANA NA KUSHIKAMANA KIKWELI KAMA MIE. JAMANI INAUMA USIOMBE YAKUKUTE ULIKUWA NA MATUMAINI MAKUBWA KATIKA MAISHA NA GHAFLA UNASIKIA.....
AU WAKATI MWINGINE UNAONA..... AU UNAPATA TU VIFUPI VYA MATENDO,MANENO, NA HALI YA KAWAIDA KUGEUKA KUWA TOFAUTI NA MATARAJIO.
DUNIA HII ILIVYO HAKUNA MAUMBILE YA KUWA BILA MUME AU MKE NA HILI NI HATUA HAYA HUWA NA BAADA YA KUSHIBANA NA KUSHIBISHWA IMANI BAINA YENU. KUWA NA JICHO LA TATU EWE NDUGU YANGU, MAPENZI SI KITU CHA MCHEZO, NADAHANI USHAWAHI SIKIA MTU KAFA KWA SABABU YA MAPENZI, MIE NIMESHAWAAHI SHUHUDIA. TULIOKATIKA MAPENZI JAMANI TUWEKENI MAZINGIRA KATIKA HALI NJEMA YAKURIDHISHA BAINA YETU. NI JAMBO BAYA MNO KUUMIZA MOYO WA MWENZIO.
KILA LA KHERI.

Friday, June 10, 2011

TO MY FELLOW GRADUANTS

Myspace Graphics
Myspace Graphics, Graduation Graphics at WishAFriend.com
Not everyone is a graduate!
You're already lucky, make the most out of it!
All the best for a bright future ahead of you!
May you emerge a winner in this rat race that life offers us!
Happy Graduation!

It's time to make mistakes. It's time to then learn from them. It's time to take the wrong decisions and then keep correcting them till you're finally right. All of this so that next time when people ask you what you really want to do in life; you won't have to think, you'll just know it! Happy Graduation. May you have a successful life!

You have achieved a great success. You serious efforts have paid off and you deserve every bit of it. Congratulations and I bless you with my best wishes for you future. May God always take your care.

You are brilliant, able and ambitious. You shall always walk the glory road. Happy Graduation. I bless you with all that you need to earn many more achievements and feats in life ahead.

You dreamt, you believed, you strived and you achieved. You are an inspiration to all of us. Well done. Congratulations on your Graduation.

With a successful graduation, comes bigger challenges and obstacles in life. Tackle them out for your glory with the same zeal and vigor. Well done!

Many dream, some try, but only a few achieve. You are an achiever. You have made us all proud, keep up the good work. Congratulations on your graduation.

GRADUATION GREETINGS

Myspace Graphics
Myspace Graphics, Graduation Graphics at WishAFriend.com

Thursday, February 3, 2011

TARATIBU ZA UVAAJI WA MWANADAMU

Muislamu hulichukulia suala la uvaaji kuwa ni miongoni mwa amri za Mola wake. Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu : "ENYI WANAADAMU! CHUKUENI MAPAMBO YENU (vaeni nguo zenu nzuri) WAKATI WA KILA SWALA; NA KULENI (vizuri) NA KUNYWENI (vizuri). LAKINI MSIPITE KIASI TU. HAKIKA YEYE (Allah) HAWAPENDI WAPITAO KIASI" [7:31]
Mwenyezi Mungu Mtukufu amewapa ruhusa waislamu wale, wanywe na wavae vizuri na pia waende msikitini wakiwa wamevaa nguo nzuri. Na amesema tena : "ENYI WANADAMU! HAKIKA TUMETEREMSHIENI NGUO ZIFICHAZO TUPU ZENU NA NGUO ZA PAMBO; NA NGUO ZA UTAWA (ucha-mungu) NDIZO BORA …" [7:26]
Mwenyezi Mungu anatubainisha kuwa amemteremshia mwanadamu mavazi/nguo za namna mbili :
  1. Vazi la pambo – hili ni kwa ajili ya kuupamba na kuusitiri utupu wake na kumtofautisha na hayawani wengine.
  2. Vazi la ucha-Mungu – hili ni kwa ajili ya kuipamba na kuisitiri nafsi yake na kumfanya binadamu kamili mkamilifu wa utu na ubinadamu. Na hili ndilo vazi bora kama alivyolisifia Mwenyezi Mungu Mtukufu, kwa sababu ni vazi hili ndilo humtoa mwanadamu kutoka kwenye unyama na kumleta kwenye utu.
Mshairi wa kiarabu anaukiri ukweli huu, aliposema :
Ikiwa mtu hakuvaa vazi la ucha-mungu,
Huyo huwa utupu hata kama kavaa,
Na bora ya mambo ya mtu ni kumtii Mola wake,
Hapana kheri kwa mtu mwenye kumuasi Allah.

Na Mwenyezi Mungu anazidi kutuambia : "…NA AMEKUFANYIENI NGUO ZINAZOKUKINGENI NA JOTO ( na baridi, na amekufanyieni) NGUO ZA CHUMA ZINAZOKUKINGENI KATIKA VITA VYENU" [16:81]
Hapa Mwenyezi Mungu Mtukufu anatubainishia aina kuu mbili za mavazi, kulingana na majira ambazo ni :
  1. Mavazi ya joto (kiangazi)
  2. Mavazi ya baridi (masika)
Na pia mavazi maalum ya vita, haya ni pamoja na BULLET PROOF tuzionazo leo. Tunasoma tena : "NA TUKAMFUNDISHA (Daudi) MATENGENEZO YA MAVAZI YA VITA KWA AJILI YENU ILI YAKUHIFADHINI KATIKA MAPIGANO YENU – JE MTAKUWA WANAOSHUKURU ?" [21:80]
Tunafahamikiwa kwamba kumbe sanaa ya utengenezaji wa mavazi ya vita ni sanaa kongwe kabisa na mwanadamu wa kwanza kutengeneza mavazi ya vita ni Nabii Daudi – zimshukie amani-.
Naye mfasiri mkuu wa Qur-ani tukufu, Bwana Mtume –Rehema na Amani zimshukie – anatufasiria aya hizo kwa kusema : "Kuleni, kunyweni, vaeni na toeni sadaka bila ya israfu (kupita kiasi) wala maringo/fakhri".
Kadhalika, Bwana Mtume –Rehema na Amani zimshukie – ametufafanulia na kutubainishia mavazi yanayojuzu/yanayofaa kuvaliwa na ambayo ni karaha. Kwa hivyo basi, imempasa na kumlazimu muislamu kuzichunga na kuzifuata adabu/taratibu zifuatazo katika suala zima la uvaaji wake :
  1. Mwanamume asivae kabisa nguo ya hariri kwa hali yeyote ile iwayo hata kama ni tai au kitambaa cha kichwa. Hii ni amri ya Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshukie – aliposema : "Msivae hariri, kwani atakayeivaa duniani hatoivaa akhera" Bukhaariy na Muslim. Na kauli yake Bwana Mtume il-hali akiwa ameishika hariri kwa mkono na dhahabu mkono wa kushoto : "Hakika (vitu) viwili hivi ni haramu kwa wanamume wa umati wangu" Abu Dawoud.
  2. Nguo yake isiwe ndefu sana kiasi cha kuburuza chini. Urefu wa nguo yake usizidi kifundo cha mguu. Haya yanatokana na kauli ya Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshukie - : "Mwenyezi Mungu hatomuangalia/ hatomtazama kwa jicho la rehema atakayeiburuza nguo yake kwa maringo" Bukhariy na Muslim.
  3. Apendelee zaidi kuvaa nguo nyeupe pamoja na kuwa inafaa kuvaa nguo za rangi nyingine. Hivyo ndivyo alivyotuelekeza Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshukie - : "Vaeni nguo nyeupe kwani hizo ndizo twahara/safi na nzuri sana, na wakafinini maiti wenu kwa nguo nyeupe (yaani washoneeni sanda nyeupe)" Nisaai na Al-Haakim. Na pia imethibiti kwamba Bwana Mtume alivaa nguo ya kijani na alipiga kilemba cheusi.
  4. Mwanamke wa kiislamu avae vazi refu litakaloweza kusitiri hadi nyayo zake, aangushe ushungi kiasi cha kusitiri shingo, na kifua chake. Akifanya hivyo atakuwa ameitii kauli ya Mwenyezi Mungu Mtukufu isemayo : "EWE MTUME! WAAMBIE WAKE ZAKO NA WANAWAKE WA KIISLAMU WAJITEREMSHIE UZURI NGUO ZAO. KUFANYA HIVYO KUTAPELEKEA UPESI WAJULIKANE (kuwa ni watu wa heshima ili) WASIUDHIWE .." [33:59]Na kauli nyingine isemayo : "…NA WAANGUSHE SHUNGI ZAO MPAKA VIFUANI MWAO NA WASIONYESHE MAPAMBO YAO ILA KWA WAUME ZAOAU BABA ZAO …."
    Na kwa kauli ya Mama Aysha – Allah amuwie radhi- : "Mwenyezi Mungu awarehemu wanawake muhaajirati wa mwanzo, Mwenyezi Mungu alipoteremsha : "…NA WAANGUSHE SHUNGI ZAO MPAKA VIFUANI MWAO …" wakapasua maguo yao mazito na kujitanda nayo" Bukhariy.
    Na kwa kauli ya Ummu Salamah – Allah amuwie radhi - : "Ilipoteremka : "EWE MTUME! WAAMBIE WAKE ZAKO NA WANAWAKE WA KIISLAMU WAJITEREMSHIE UZURI NGUO ZAO …" Walitoka wanawake wa kiansari kama kwamba kuna kunguru vichwani mwao kutokana na maguo waliyovaa na kujitanda" Muslim.
    Hivi ndivyo wanavyotakiwa kuwa waislamu wa kweli, wakiamrishwa pale pale huamrika na wakikatazwa hukatazika pasina kurudi nyuma.
  5. Mwanamume wa kiislamu asivae mavazi na mapambo ya kike na mwanamke muumini asivae mavazi mavazi na mapambo ya kike na mwanamke muumini asivae mavazi na mapambo ya kiume. Anasema Bwana Mtume – Rehema na Amani zimshukie - : "Mwenyezi Mungu amemlaani mwanamume anayevaa vazi la mwanamke na mwanamke avaaye vazi la mwanamume kama alivyolaani wanamume wenye kujishabihisha na wanawake na wanawake wenye kujishabihisha na wanamume" Muslim.
  6. Aanze kuvaa upande wa kulia wa nguo yake. Kama ni kanzu, shati, koti, gauni au kizibao aanze kuvaa mkono wa kulia. Kama ni suruali basi aanze kuvaa mguu wa kulia. Haya ni kwa mujibu wa kauli ya Mama Aysha – Allah amuwie radhi – Mtume wa Allah – Rehema na Amani zimshukie – alikuwa akipenda kuanza kulia katika mambo yake yote; katika uvaaji wake wa viatu, uchanaji wake nywele na kujitwahirisha kwake" Bukhariy.
  7. Aseme anapovaa nguo mpya : Ewe Mwenyezi Mungu wewe ndio mwenye sifa zote uliyenivisha, nakuomba kheri yake na kheri iliyotengenezewa kwayo, na najilinda na shari yake na shari iliyotengenezewa kwayo.
  8. Asivae nguo nyepesi yenye kuonesha ndani rangi ya mwili wake (transparent). Kadhalika asivae nguo yenye kumbana sana kiasi cha kuchora ramani/finyango la mwili wake.

 

HALI ILIVYO SIVYO NDUGU ZANGU

NAPENDA KUCHUKUA FURSA HII TENA NDUGU ZANGU KUWAFIKISHIA UJUMBE MADHUBUTI KABISA ;
WAJUA MWANADAMU ANAONGOZWA NA MATASHI MAWILI
1.MORAL FORCE (MATASHI YA KITABIA)
2.PHYSICAL OR MATERIAL FORCE (MATASHI YA KIMUUNDO WA JAMII)
SASA NNACHOTAKA KUKUJULISHA EWE NDUGU YANGU ULIYEPATA TAWFIQ YA KUUSOMA UJUMBE HUU NI KUWA WEWE UNAONGOZWA NA NINI? AU UMEWEKA KIPAUMBELE GANI CHA KUENDESHEA MATAKWA YAKO?
KWA WALE WANAOONGOZWA NA MORAL HAKIKA WANAFANIKIWA NA WAMEFANIKIWA KWA NAMNA 1 AU NYINGINE KWANI WANAONGOZWA NA MAUMBILE YANAVYOWATAKA KUWA.
USIKOSE UUNGWANA UKAONGOZWA NA MATERIAL YAANI VITU NA MIPANGILIO YAKE VIKATAWALA MAISHA YAKO UTAKUWA HUNA TOFAUTI NA MNYAMA

Friday, January 21, 2011

TATIZO SIO WATU NI MFUMO- NINI JUKUMU LETU?

SALAM ALAYKUM, Ndugu wote ;
Safari hii katika  blog yetu ya www.kakasule.blogspot.com nakusudia kueleza japo kwa ufupi juu ya jaukaumu letu kama vijana na kama wanajamii wa kitanzania, kama inavyofahamika Tanzania ni nchi ya Amani na utulivu nawatu wake ni watu wa amani na utulivu. nayazungumza haya kwa aliyesahau akumbuke na anayejua azingatie.hivi karibuni kunatokea an kumetokea hali ambayo ss kama watanzania tunapaswa kuitizama kwa jicho la mara mbili Kumetokea mauaji ya wenzetu ambao bila shaka wanajulikana kuwa ni watanzania na wazalendo halisi wa nchi yao kwa munasaba kuwa eti walikuwa wanapigania haki, haki ya kumtafutia DIWANI FULANI cheo cha kuwa MEYA wa jiji la Arusha hivi huu ni uzalendo wa kufikia kuuwawa hivi kwa mungu twaweza kuja sema kuwa tulikuwa katika usahihi. Naomba nisieleweke vibaya kwa kuanza hivi bali pia sisemi kuwa hawakuwa katika usahihi bali twawajua Polisi na pia twajua nguvu za Dola nikimaanisha serikali, sasa najiuliza mara mbili walio katika haki ni walioua au kuuwawa kwa vile kila mmoja katoa ushahidi madhubuti kuwa alikuwa katika usahihi, sie tusiofungamana na upande wowote tunabaki kujiuliza haya.
   Ok! labda kwa mtazamo wa wengi kuwa polisi wametumia nguvu iso halali kwa kulipinga jambo ila kwa taarifa walizotoa kwa mujibu wa uzito wa tunvyolichukulia jambo haikupaswa kufanyika vile nakusudia kwanza kwa waandamanaji pili kwa polisi, ila wajua siwalaumu wote kwa pamoja waswahili wanasema wapiganapo mafahari wawili ziumiazo nyasi ndiyo yaliyo wakuta wenzetu wa ARUSHA mafahari hapa nakusudia CHADEMA na SERIKALI/ Polisi wao waandamanaji na polisi wameponzwa na viongozi wao.
Kwanza waandamanaji wasingaliandamana kama sio wito wa viongozi wao an pia polisi wasingailiwapiga waaandamanaji kama sio tamko la amri ya viongozi wao. sasa, tutizame viongozi wapi waliowaponza waongozwa wao Je? ni wa CHADEMA ama Polisi?
CHADEMA wao dai lao la msingi ni kwa kura za umeya wa jiji la arusha ambalo wanataka walihodhi wao, wewe jiulize kwanza ungelikuwapo kwa akili yako juu ya hilo ungeliandamana mpaka kupambana na nguvu ya Polisi? Je kama ndio waujua hasa msingi wa dai hili upo kisheria na kuna mvutano au ukinzani wa kisheria, kama haja au haki ikiwepo huwa yaonekana kimsingi na hata asiye na haki hukiri mbona kwa swal hilo hilo la umeya Chadema wamepewa/ wamepata sehemu nyingine na pia hata kwa uwenyekiti wa halmashauri ambacho ni cheo sawa na umeya kwa ngazi hiyo wamepata katika sehemu nyingine? kama dai ni kuwa serikali inayoongozwa na chama cha CCM inawakandamiza kwaninbi iwakandamize ARUSHA tu kuna walakini, ila swala lenyewe lilivyokuwa ni kupishana jazba za kimaamuzi kwani wao CHADEMA hawajapiga kura  na pia kuna taarifa za wao pia kumuingiza kiongozi diwani wa viti maalumu ambaye pia ana walakini na angeliweza kuleta tafrani nyingine. Arusha ni mji wa amani nahisi kuna watu wanataka kuufanya wa vurugu na kuiharibu hadhi yake mie ni mkazi wa huko sijaridhika na watu kuuwawa kwa sababu ya ladha ya Diwani fulani kutakiwa kuongezewa nguvu na cheo kuwa meya wa jiji.Chadema wangelikuwa na busara wasingelifikia pointi ya kuleta tafrani na polisi wangeliwatii na kubadili namna ya kupambana na viongozi wa serikali kwa mlango wa sheria, vyombo vya habari kufikisha ujumbe, na hata kupita ngazi zaidi siyo vurugu na maandamano kwani kuitazama mode waliyotumia naona sio sahihi wangapi bwana wameandamana Tanzania hii haya hata kwa histori yatuonesha failure na hata mafanikio yake sio yakaribu na yanagharimu muda na nguvu hata maisha, kama hivyo watu wamekufa, hivi Chadema ama CUF, mnafikiri kwakuandamana hii serikali yetu mtaishinda ingalikuwa hivyo wazee wetu wa EAST AFRICAN COMMUNITY wangelifanikiwa mapeema, kwani wameandamana sana. Hapa akili na hoja za msingi zitumike na si msingi wa hoja ujengwe hapana, nasema hapana kwa kuwa wenzetu hapa mmejeng msingi wa hoja na si hoja ya msingi kwani mnapoandamana na kufanya mikutano halafu serikali ikajidai haijasikia then mnafanyaje zaidi ya baadhi kuathirika sasa niulize je serikali jamii ya kimataifa na wengineo akina sisi tumesikia then what? samahani kama maneno yangu yatakuwa hayaingii akilini katika akili yako. Nafikiri hoja ya msingi ni hii ya mtayoifanya sasa badala ya maandamano na mikutano isiyo na mwisho, juweni nyie ni asilimia katika asilimia ndogo za watu wanaofuatilia na kuushinikiza muamala wa siasa na serikali katika nchi yetu, sasa nimesikia Dodom anao wanataka kuandamana sasa sijajua wale askari wa serikali watawafumbia macho, hii jamani mie naiona kama vurugu.
  Msimamo wangu; nawashauri CHADEMA wakaechini wapunguze jazba, watatumia nguvu nyingi wenzao wameshika mpini wao makali  watakatwa watafute mbinu mbadala za nje badala ya kuushikilia upande wa makali wenzao wakiuvuta zitabaki DAMU mikononi mwao. JAMBO la msingi watafute namna nyingine na mie sidhani kuwa viongozi wote wale kina Dk nani na mheshimiwa nani sijui ? kuwa hawana njia safi na mbadala ambayo haitawagharimu  wafuasi wao.Jamani wewe mfuasi angalia maslahi yako nchi hii bwana wenye haki wachache wenye fursa pia wachache utapoteza mda wako bure, kwa mfano wewe mtu wa Dodoma meya wa Arusha akiwa meya takusaidia nini kwanza hivi watu wanajua hata hizo function za umeya au ushabiki tu? ok tujaalie tunajua wewe meya wa mkoa wako amekusaidia nini? najua kuna wataoniaona mzembe kwa kuuliza maswali kama haya ila nataka tujaribu kupima mimi naimani hata kama tukimpa meya wa Arusha awe CHADEMA point inabaki palepale kuwa Tatizo la Tanzania ni mfumo sio watu, kwani alipokuwa meya ni wa CCM tulidhurika nini na kaija mwingine atafanya kazi na serikali ipi? Jibu ni ile ile ambayo mnaiona ni mbaya je Niulize inamaana serikalini watumishi woote ni wabaya na kama sio nini kibaya  kwa sababu serikali sio Raisi pekeyake bali Raisi ni sehemu. Jua hata tukiweka chama gani watanzania ni walewale kama huamini amini hili TATIZO NI MFUMO na sio vinginevyo kwani wewe huwaoni viongozi wa chadema wameongezeka serikalini kwa maaana ya chombo husika cha maamuzi katika nchi nakusudia Bunge sasa mpaka sasa wamejipanga vipi kuleta hayo wanayodai mabadiliko mie naona wanakimbilia maslahi yao tu hamna lolote. huu mie ndio msimamo na mtazamo wangu jamani usijenge chuki.