KWA FURSA HII NINA MACHACHE NAPENDA TUJIULIZE KUPITIA IMANI ZETU TOFAUTI.
KWANINI TUNAMWASI MUNGU NA HALI TUNAJUA KUWA:
- TUNATEGEMEA RIZIKI KUTOKA KWAKE
- TUTAKUFA MDA WOWOTE HATA KWASABABU AMBAZO WEWE UNWEZA SEMA KUWA SI ZA KUSABABISHA KIFO.
- TUKIUMWA TUTAHITAJI MSAADA WAKE
- TUTAKAPO KUFA TUTA REJEA KWAKE YEYE TU
- Waislamu mnaweza tembelea hapa.
3 comments:
maneno haya ni ya kweli.
maneno haya yazingatiwe.INSHAALAH
maneno haya ya Msingi sana
Post a Comment