Sunday, October 10, 2010

KIJANA RASILIMALI YA MAISHA.

VIJANA TUTUMIKE KAMA NYENZO ZA KUJENGA
Ukijaribu kutizama jinsi jamii inavyotuchukulia vijana nasi tulivyo katika utendaji wetu wa mambo ni wazi utakuja kugundua kuwa una mapungufu  makubwa katika kutekeleza jukumu lako kama mwana jamiii.
Kwa nini  nasema haya kwa sababu wajenzi na wabomoaji wakubwa wa jamii yetu ni vijana ambao ni asilimia 33 ya idadi ya wananchi wote wa Tanzania na nusu ya Dunia.fuatana nami kwa siku na jinsi makala ziendavyo utakuwa pamoja nami katika Forum hii ya vijana

Thursday, March 11, 2010

HIVI SIE WANAADAMU KWANINI TUNAMUASI MUNGU?

SALAM ALAYKUM WOTE WAPENDWA,
KWA FURSA HII NINA MACHACHE NAPENDA TUJIULIZE KUPITIA IMANI ZETU TOFAUTI.
KWANINI TUNAMWASI MUNGU NA HALI TUNAJUA KUWA:
  • TUNATEGEMEA RIZIKI KUTOKA KWAKE
  • TUTAKUFA MDA WOWOTE HATA KWASABABU AMBAZO WEWE UNWEZA SEMA KUWA SI ZA KUSABABISHA KIFO.
  • TUKIUMWA TUTAHITAJI MSAADA WAKE
  • TUTAKAPO KUFA TUTA REJEA KWAKE YEYE TU
  • Waislamu mnaweza tembelea hapa.

JE MFUMO WA ELIMU TUSOMAYO UNAENDANA NA MAHITAJI YA JAMII?

NAPENDA KUWASILISHA MADA YANGU YA KWANZA KWA WANAJUMUIYA NA JAMII YA KITANZANIA MLIPEWA UPEO WA KUFIKIRI NA KUWASILISHA MAWAZO YENU KWA JAMII.
NAULIZA NA NAHITAJI JIBU "JE HUU MFUMO WA ELIMU WA HAPA TANZANIA TUUSOMAO UNAENDANA NA MAHITAJI YA JAMII YETU.
TUMA MAONI YAKO KUPITIA .Email: kakasule@yahoo.com NA MAONI YAKO YATARUSHWA KWENYE BLOG HII.

nawakaribisheni

nichukuwe fursa hii kuwakaribisheni katika blog hii mpya inayoletwa kwenu na kaka sule wa UDOM.