Sunday, October 10, 2010

KIJANA RASILIMALI YA MAISHA.

VIJANA TUTUMIKE KAMA NYENZO ZA KUJENGA
Ukijaribu kutizama jinsi jamii inavyotuchukulia vijana nasi tulivyo katika utendaji wetu wa mambo ni wazi utakuja kugundua kuwa una mapungufu  makubwa katika kutekeleza jukumu lako kama mwana jamiii.
Kwa nini  nasema haya kwa sababu wajenzi na wabomoaji wakubwa wa jamii yetu ni vijana ambao ni asilimia 33 ya idadi ya wananchi wote wa Tanzania na nusu ya Dunia.fuatana nami kwa siku na jinsi makala ziendavyo utakuwa pamoja nami katika Forum hii ya vijana