Sunday, July 24, 2011

SALAM ALYKUM, MAPENZI NI JAMBO ZITO, ILA JEPESI.
KWANINI NIMEAMUA KUTOA MTAZAMO HUO. MAPENZI NI JAMBO LILOKUWEPO TANGU ENZI ZA ADAMU NA HAWA, MITUME NA MANABII, MABABU NA MABIBI NA WAZAZI WETU PIA. JAMBO HILI HUMUWEKA MTU KATIKA NAFASI NZURI AU MBAYA KAMA NAMNA LITAKAVYOCHUKULIWA. WALLAH NAAPA MAPENZI NI JAMBO ZITO, LAWEZA MFANYA MTU KUWA HAJITAMBUI NA KUFANYA YASIYO, KUNA WAKATI HUGEUKA KUWA SUMU NA MSUMARI UUMIZAO MOYO HII NI PALE UNAPOPENDWA USIKOPENDA NA KUKUTANA NA FITNA ZA KUFANYA VISIVYO AU KUFANYWA VISIVYO, ILA HUWA MBAYA ZAIDI KAMA UTAPENADA USIPOPENDWA NA KISHA UKABAKI UKITUMIA MUDA WAKO MWINGI, NA HUKU UNAUMIA.

MAPENZI YANAFANYIKA KWA MOYO, NA HUTENAGANISHWA PIA NA VITU VINGI WAKATI MWINGINE SI MOYO, NA HUWA NI JAMBO LA MAKUBALIANO. MOYO HUJENGWA KWA MAPENZI YA MIONGONI MWENU NA HUTENGANISHWA KWA NAMNA HII.UKIPENDA JAMANI RAHA LAKINI, LAKINI, NAREJEA LAKINI HUWA MABAYA HADI MTU KUFIKIA HATUA YAKUTAKA KUFANYA MAMBO AMBAYO HUWEZA KULETA MADHARA.
DAH, SIJUI NIENDELEE?
NGOJA NIJIKAZE NIENDELEE JAPO HAUKUNA MPANGILIO WA MANENO.
MIOYO HII NDIO CHANZO CHA NAKAMA NA NASHMA NA SHUTUMA KATIKA MAPENZI HUTOKEA GHAFLA AU KWA KUSHINIKIZWA TU UKASIKIA TU MAPENZI YAMETETEREKA AU YANATARAJI KUVUNJIKA KWA SABABU YA MOYO MMOJA AU WAWILI KUINGIA TASHWISHI ZA KUTAKA KUUUMIZA MOYO WA MWINGINE KWA KUUADHIBU KWA KUTOTAKA KUWANAO TENA NA KUTAKA HATA MAPENZI YA WAWILI KUVUNJIKA. PAGUMU HAPO KWA WALE WALIOSHIBANA NA KUSHIKAMANA KIKWELI KAMA MIE. JAMANI INAUMA USIOMBE YAKUKUTE ULIKUWA NA MATUMAINI MAKUBWA KATIKA MAISHA NA GHAFLA UNASIKIA.....
AU WAKATI MWINGINE UNAONA..... AU UNAPATA TU VIFUPI VYA MATENDO,MANENO, NA HALI YA KAWAIDA KUGEUKA KUWA TOFAUTI NA MATARAJIO.
DUNIA HII ILIVYO HAKUNA MAUMBILE YA KUWA BILA MUME AU MKE NA HILI NI HATUA HAYA HUWA NA BAADA YA KUSHIBANA NA KUSHIBISHWA IMANI BAINA YENU. KUWA NA JICHO LA TATU EWE NDUGU YANGU, MAPENZI SI KITU CHA MCHEZO, NADAHANI USHAWAHI SIKIA MTU KAFA KWA SABABU YA MAPENZI, MIE NIMESHAWAAHI SHUHUDIA. TULIOKATIKA MAPENZI JAMANI TUWEKENI MAZINGIRA KATIKA HALI NJEMA YAKURIDHISHA BAINA YETU. NI JAMBO BAYA MNO KUUMIZA MOYO WA MWENZIO.
KILA LA KHERI.