NAPENDA KUCHUKUA FURSA HII TENA NDUGU ZANGU KUWAFIKISHIA UJUMBE MADHUBUTI KABISA ;
WAJUA MWANADAMU ANAONGOZWA NA MATASHI MAWILI
1.MORAL FORCE (MATASHI YA KITABIA)
2.PHYSICAL OR MATERIAL FORCE (MATASHI YA KIMUUNDO WA JAMII)
SASA NNACHOTAKA KUKUJULISHA EWE NDUGU YANGU ULIYEPATA TAWFIQ YA KUUSOMA UJUMBE HUU NI KUWA WEWE UNAONGOZWA NA NINI? AU UMEWEKA KIPAUMBELE GANI CHA KUENDESHEA MATAKWA YAKO?
KWA WALE WANAOONGOZWA NA MORAL HAKIKA WANAFANIKIWA NA WAMEFANIKIWA KWA NAMNA 1 AU NYINGINE KWANI WANAONGOZWA NA MAUMBILE YANAVYOWATAKA KUWA.
USIKOSE UUNGWANA UKAONGOZWA NA MATERIAL YAANI VITU NA MIPANGILIO YAKE VIKATAWALA MAISHA YAKO UTAKUWA HUNA TOFAUTI NA MNYAMA
No comments:
Post a Comment